
HOROYA KUKUTANA NA JAMBO LA TOFAUTI KWA MKAPA
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kila mchezo atafanya mabadiliko kulingana na mbinu za wapinzani wake anaokutana nao. Timu hiyo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa imetoka kushuhudia ubao wa Uwanja wa Manungu ukisoma Mtibwa Sugar 0-3 Simba. Kwenye mchezo huo Oliveira alianza na washambuliaji wawili…