
MTIBWA YAKWAMA KWA SIMBA
MTIBWA Sugar kwa msimu wa 2022/23 imekwama kusepa na ushindi dhidi ya Simba kwenye mechi ambazo wamekutana ndani ya ligi. Katika mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa, timu hiyo ilpoteza mchezo huo. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 5-0 Mtibwa Sugar. Hivyo mzunguko wa kwanza waliacha pointi tatu Uwanja…