
INFANTINO ACHAGULIWA TENA KUONGOZA FIFA
Rais wa shirikisho la kandanda duniani Gianni Infantino amesema kwamba ataendelea kuimarisha kukua kwa sekta ya soka ulimwenguni kwa kuinua kiwango cha mpira wa watoto wadogo. Infantino ameyasema hayo mjini Kigali Rwanda baada ya kuchaguliwa tena kwa kipindi cha miaka minne ijayo Gianni Infantino alichaguliwa kwa wingi wa kura za wajumbe wote 208 waliohudhuria kongamano…