
KOCHA SIMBA AKILI NYINGI, MABOSI YANGA WASHTUKA
ROBERTINHO akili nyingi Simba,mabosi Yanga washtuka, waingia msituni ndani ya Championi Jumamosi
ROBERTINHO akili nyingi Simba,mabosi Yanga washtuka, waingia msituni ndani ya Championi Jumamosi
KWA mara ya pili Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amekutana na winga Real Bamako ya nchini Mali, Cheickna Diakite na kufanya naye kikao cha siri. Jana baada ya mchezo huo, kigogo wa Yanga alimwambia mwandishi wa gazeti hili kuwa, Diakite ni mchezaji mzuri ambaye amekuwa akimfuatilia tangu zamani kwa lengo la kumsajili kikosini…
BEKI Yanga aitikisa Afrika kwenye anga za kimataifa ambaye ni nahodha wa kikosi hicho akiwa kwenye mwendo wake
KIKOSI cha Simba leo Machi 9 2023 kimeibukia Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira mapema leo kilifanya mazoezi kabla ya kuanza msafara wa kuelekea Moro mji kasoro bahari. Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili ambao unatarajiwa kuchezwa Jumamosi saa 10:00 jioni…
Haijawahi kuwa kinyonge pale Meridianbet wanapoanzisha jambo lao, mwezi huu tena wamekuja na sloti ya Aviator, ndani ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unambiwa sloti hii inatoa hela balaa unaanzaje kuikosa hii. Kwa dau la kuanzia Tsh 200 unaweza kuizalisha na kuwa mamilioni ya hela kupitia mizunguko 500 ya bure inayotolewa kila siku baada ya…
BAADA ya sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Europa League raundi ya 16, Mikel Arteta amesema wapinzani wao watakwenda Emirates. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Jose Alvalade ubao ulisoma Sporting 2-2 Arsenal. Mabao ya Sporting yalifungwa na Goncalo Inacio dakika ya 34 na Paulinho dakika ya 55 Kwa Arsenal ni William Saliba…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa hakufurahishwa tabia ya ubinafsi iliyokuwa ikifanywa na mshambuliaji wa timu hiyo, Fiston Mayele licha ya kumuweka chini ya kumueleza juu ya jambo hilo. Nabi ametoa kauli hiyo kufuatia mshambuliaji huyo kulazimisha kufunga mwenyewe katika nafasi alizokuwa anapata licha ya kutokuwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga katika…
YANGA SC Winga Bamako mambo safi,Simba:Horoya msijisahau, mna tiketi yetu CAF
HATIMAYE leo Machi 9,2023 KMC imepata ushindi mbele ya Kagera Sugar na kusepa na pointi tatu mazima. KMC haikuwa kwenye mwendo mzuri kwenye mechi zake za hivi karibuni ambapo ilipotoka kunyooshwa bao 1-0 dhidi ya Yanga ikapoteza pia mbele ya Azam FC kwenye mechi za ligi ilizocheza Dar. Ni mabao ya Daruesh Saliboko dakika ya…
UKIWEKA kando Yanga kusepa na pointi tatu mazima dhidi ya Real Bamako walitawala katika kila Idara huku wakicheza Kwa tahadhari licha ya kuwa wapo nyumbani. Mashuti waliyopiga ni 12 huku manne yakilenga lango na mawili yàkizama nyavuni watupiaji wakiwa ni Fiston Mayele dakika ya 8 na Jesus Moloko dakika ya 68. Bamako ni mashuti 11…
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, walisema sana mwisho wa siku vita vimewashinda jemedari mwenyewe wakali wa hizi kazi Meridianbet, walifika Duka la ubashiri la Mwananyamala kufanya uzinduzi wa duka hilo kwa kutoa huduma bora za ubashiri, kubwa Zaidi Odds kubwa kila mechi, machaguo Zaidi ya 1,000. Huu ni muendelezo wa uzinduzi wa maduka ya ubashiri ya…
NI kocha bora wa Februari Mecky Maxime leo Machi 9,2023 ana kibarua cha kuongoza kikosi chake dhidi ya KMC. Kocha huyo ambaye anapenda kuona vijana wakicheza kwa kujiamini mchezo wake uliopita wa ligi alishuhudia ubao wa Uwanja wa Kaitaba ukisoma Kagera Sugar 1-0 Namungo. Ilikuwa ni Februari 18 ambapo bao pekee la ushindi lilijazwa kimiani…
MMELIONA shangwe? Baleke, Phiri wampasua kichwa Mbrazil Simba ndani ya Spoti Xtra Alhamisi.
BAADA ya Fiston Mayele kupachika bao la kuongoza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi msumari mwingine umejaa kimiani. Ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 2-0 Real Bamako ikiwa ni mchezo wa kimataifa. Mayele alianza kupachika bao dakika ya 8 akiwa ndani ya 18 lilidumu mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza….
UOGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Machi 9,2023 Uwanja wa Uhuru. Ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa wababe hao kumenyana uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Rekodi mbaya kwa timu zote mbili zimetoka kufungashiwa virago kwenye Azam Sports…
YANGA wametumia dakika 10 kuwanyanyua mashabiki wao ndani ya Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho. Ni hatua ya makundi ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 1-0 Real Bamako. Yuleyule Fiston Mayele dakika ya 8 kawatuliza Bamako kwa kufunga bao liliipa uongozi Yanga. Umakini mdogo kwa Mayele ndani ya dakika 45 za…
MWANA FA amesema kuwa aliona nafasi saba za Simba kufunga lakini juhudi zao zilikwama na mwisho mfungaji akawa ni Clatous Chama jambo ambalo ni pongezi kwa timu kupata pointi tatu. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa dakika 90 zilizomsa Simba 1-0 Vipers FC ya Uganda. Mwana FA amesema:”Niliona namna wachezaji ambavyo mlikuwa mnapambana kusaka…