Home International YANGA 1-0 REAL BAMAKO

YANGA 1-0 REAL BAMAKO

YANGA wametumia dakika 10 kuwanyanyua mashabiki wao ndani ya Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho.

Ni hatua ya makundi ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 1-0 Real Bamako.

Yuleyule Fiston Mayele dakika ya 8 kawatuliza Bamako kwa kufunga bao liliipa uongozi Yanga.

Umakini mdogo kwa Mayele ndani ya dakika 45 za mwanzo umemfanya akamwe kufunga mabao mengine zaidi kwenye mchezo wa leo Machi 8,2023 .

Previous articleMWANA FA:NILIONA MABAO SABA KWA SIMBA
Next articleKMC KAMILI KUIKABILI KAGERA SUGAR