JKT Tanzania vs TRA United H2H

WABABE wawili JKT Tanzania vs TRA United wanatarajiwa kukutana leo Agosti 16,2026 Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo katika dakika 90 za kusaka pointi 3 muhimu.

Saa 2:30 usiku mchezo huu mkali unatarajiwa kuchezwa na hapa ni matokeo ya mechi zilizopita walipokutana:-

25/10/2023, JKT Tanzania 1-0 TRA United
13/04/2024, TRA United 1-1 JKT Tanzania
04/06/2024, TRA United 0-4 JKT Tanzania
18/10/20224, JKT Tanzania 4-2 TRA United
07/03/2025, TRA United 1-2 JKT Tanzania
26/11/2025, JKT Tanzania 1-0 TRA United
12/05/2026, TRA United 1-1 JKT Tanzania

Jumla mechi 7, ushindi JKT Tanzania mechi 5, TRA United ushindi 0, sare 2. Mabao yamefungwa 19, JKT Tanzania mabao 14 na 5 TRA United.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Duniani kote kinapatikana mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.