
MSAKO WA VIPAJI UWE NA MWENDELEZO
MWENDELEZO mzuri kwenye uwekezaji kwa vijana unahitajika kuwa wa vitendo kwa kila timu na sio kuishia kupiga picha na porojo ambazo zinaishi kila siku. Ipo wazi kwa sasa vijana wengi wanaopewa nafasi kikosi cha kwanza kwenye timu za wakubwa wanahesibaki hasa ukiziweka kando Azam FC, Mtibwa Sugar, Ihefu na Kagera Sugar. Kuna timu ni ngumu…