
MDAKA MISHALE KAWAKIMBIZA KINOMANOMA
DJIGUI Diarra, kipa namba moja wa Yanga amewakimbiza wapinzani wake wote kwenye kucheza mechi nyingi bila kufungwa ndani ya Ligi Kuu Bara. Anapambania tuzo yake ya kuwa kipa bora msimu uliopita aliyosepa nayo alipokuwa akishindana na kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula. Msimu huu wa 2022/23 Djigui ni mechi 24 kacheza kwenye ligi akisepa…