
PANGA ZITO LAPITA SIMBA, BEKI LA CAF LASAINI YANGA
PANGA zito lapita Simba, beki la CAF lasaini miaka mitatu Yanga ndani ya Spoti Xtra Jumanne
PANGA zito lapita Simba, beki la CAF lasaini miaka mitatu Yanga ndani ya Spoti Xtra Jumanne
HAMNA namna ilikuwa ni lazima mshindani apatikane ndani ya dakika 90 kila shabiki anarejea na alichokivuna kutoka kwa timu yake. Wale wa Simba ni safari ndefu kutoka Uwanja wa Nangwanda Sijaona mpaka kule wanakoelekea labda iwe ni Njombe ama Dar lakini wa Azam FC ni burudani tosha. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa taji hilo ni…
MBINU za Kali Ongala muda wote zimekuwa ngumu dhidi ya Simba wanapokutana ndani ya dakika 90. Ongala dhidi ya Yanga alikwama kusepa na pointi mzunguko wa pili ila ule mzunguko wa kwanza walitoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2. Mbele ya Singida Big Stars ugenini walipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Ni bao moja Simba wamefanikiwa kuifunga…
MUDA hausubiri na kila mmoja anapambana kusaka ushindi kwenye mechi ambazo anacheza hilo ni jambo la muhimu kwa kila timu. Wachezaji wanajituma na kufanya kazi kubwa kwenye kusaka ushindi na wapo ambao wamekuwa wakionyesha uwezo mkubwa ndani ya uwanja. Kila timu ina kazi kusaka ushindi ikiwa ni kwenye mechi za lala salama kwa sasa kutokana…
DJIGUI Diarra, kipa namba moja wa Yanga amewakimbiza wapinzani wake wote kwenye kucheza mechi nyingi bila kufungwa ndani ya Ligi Kuu Bara. Anapambania tuzo yake ya kuwa kipa bora msimu uliopita aliyosepa nayo alipokuwa akishindana na kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula. Msimu huu wa 2022/23 Djigui ni mechi 24 kacheza kwenye ligi akisepa…
VYUMA vitatu vya Nabi,Msauzi hachomoki, Chama kagawanyika vipandevipande Simba ndani ya Championi Jumatatu
UONGOZI wa Ihefu umebainisha kuwa umeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa ligi dhidi ya Coastal Union. Ihefu inashikilia rekodi ya kuwa timu ya kwanza kuifunga Yanga msimu wa 2022/23 walipokutana Uwanja wa Highland Estate mzunguko wa kwanza. Mzunguko wa pili Yanga walilipa kisasi kwa kuitungia Ihefu bao 1-0 Uwanja wa Mkapa. Mchezo…
AZAM FC imewaua kiume Simba kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation mchezo uliochezwa Uwanja wa Nangwada Sijaona. Ubao umesoma Azam FC 2-1 Simba na kufungashiwa virago mazima kwenye mashindano haya mpaka wakati ujao tena. Ni Lusajo Mwaikenda dakika ya 22 alianza kupachika bao kwa Azam FC kisha usawa ukawekwa…
KIKOSI cha Azam FC dhidi ya Simba nusu fainali Azam Sports Federation Uwanja wa Nangwanda Sijaona ni:- Iddrisu Abdulai Lusajo Mwaikenda Bruce Kangwa Daniel Amoah Abdalah Kheri Isah Ndala Ayoub Lyanga Bajana Idris Mbombo James Akamiko
KIKOSI cha Simba dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation:- Ally Salim ameanza langoni Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Clatous Chama Mzamiru Yassin Jean Baleke Ntibanzokiza Kibu Dennis
UKIAMINI umesimama muhimu uendelee kupambana ili usianguke itafahamika leo Mei 7, Uwanja wa Nangwanda Sijaona kwenye mchezo wa nusu fainali Azam Sports Federation. Timu zote zinaingia uwanjani zikiwa na kazi ya kusepa na ushindi ili kutinga hatua ya fainali unaambiwa acha moto uwake mshindi apatikane. Hapa tunakuletea namna uimara ulivyo kwa wapinzani hawa wawili namna…
MASHABIKI wa Yanga wameibuka Uwanja wa Nangwanda Sijaona kwa ajili ya kuitazama mechi ya nusu fainali kati ya Azam FC v Simba leo Mei 7,2023.
MARUMO Gallants kutoka Afrika Kusini ambao ni wapinzani wa Yanga kwenye hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika wanatarajiwa kutua Bongo, Mei 8,2023. Ni Kesho Jumatatu wanatarajiwa kutua Dar tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Dar…
BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa mchezo wao wa nusu fainali dhidi ya Azam FC watacheza wachezaji wote wa timu hiyo kwa kuwa wanatambua wajibu ni lazima utimizwe. Ni Yanga wenye taji hilo mkononi ambapo watacheza na Singida Big Stars hatua ya nusu fainali ya pili na mshindi atavaana na atakayepenya leo. Leo Simba…
KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa tayari wamefunga hesabu za mchezo wao wa nusu fainali ya Kombe la Azam Sports Federatino dhidi ya Simba. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga ambao wao watacheza na Singida Big Stars mchezo wa hatua ya nusu fainali. Mshindi wa mchezo wa leo atakutana na mshindi…
MAKIPA wengi wamekuwa wakiingia kwenye lawama kutokana na kufungwa mabao ambayo yanaleta maswali baada ya mchezo husika. Hii imekuwa ikiwakumba makipa wote wale wageni na hawa makipa wazawa nao wamekuwa kwenye kasumba hii jambo ambalo halipendezi. Ukweli upo wazi kwamba mpira ni mchezo wa makosa lakini yanapozidi ni muhimu kufanyia kazi na kila mmoja kutimiza…
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Marumo ya Afrika Kusini hautakuwa mwepesi hivyo wanafanya maandalizi mazuri kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 10,2023.