
YANGA YATUMA UJUMBE HUU SINGIDA BIG STARS
CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema wanatambua ugumu wa mchezo wao dhidi ya Singida Big Stars lakini wapo tayari. Vinara hao wa ligi wakiwa na pointi 68 baada ya kucheza mechi 26 kesho Mei 4 wanatarajiwa kumenyana na Singida Big Stars, Uwanja wa Liti. Kaze amesema:”Tunawaheshimu wapinzani wetu na tunatambua wapo imara hivyo tutaingia…