
YANGA GEREZANI WAWAITA MASHABIKI KWA MKAPA
MWENYEKITI wa Tawi la Yanga, Gerezani, Kariakoo, Hassan Sasama amesema kuwa mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Mkapa kulipa kisasi mbele ya Rivers United katika mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Rivers United. Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Rivers United ikiwa ni robo fainali ya pili wana faida…