
MWAMBA HUYU YUPO NYUMA YA MDAKA MISHALE NA WENGINE
UIMARA wa kipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra nyuma yupo mtaalamu wa mbinu anaitwa Milton Nienov. Sio mdaka mishale tu hata Metacha Mnata pia ambaye ni kipa namba mbili kwa sasa ananolewa na kocha huyu. Erick Johora na Aboutwalib Mshery ambaye bado hajwa imara akirejea atakuwa mikononi mwa kocha huyu. Katika upande wa ulinzi…