
YANGA KWENYE MASHINDANO MATATU MAKUBWA
BAADA ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Klabu ya Yanga inakuwa kwenye mashindano makubwa inayoshiriki. Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia Aprili 30 iliandika rekodi yake mpya ya kutinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-0 Rivers United. Mabao hayo yote Yanga ilishinda ikiwa…