
IHEFU WAIVUTIA KASI COASTAL UNION
KLABU ya Ihefu imeanza hesabu kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union. Ikumbukwe kwamba Ihefu inashikilia rekodi ya kuwa timu ya kwanza kuifunga Yanga kwa msimu wa 2022/23. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na mechi tatu mkononi ambapo mchezo ujao ni dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa jumapili,…