
MAYELE:HAWA USM ALGER SIWAACHI, BOSI SIMBA APEWA FAILI LA MKATA UMEME
MAYELE: Hawa USM Alger siwaachi, bosi mpya Simba SC apewa faili la mkata umeme ndani ya Championi Jumamosi
MAYELE: Hawa USM Alger siwaachi, bosi mpya Simba SC apewa faili la mkata umeme ndani ya Championi Jumamosi
NYOTA Yanga afungukia ishu ya fainali kimataifa ni David Bryson amesema kuwa hawana hofu na wamejiaandaa kwa umakini kwa ajili ya mchezo huo. Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya USM Alger kwenye hatua ya fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika.
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ka sasa hali ya kiungo wao Hassan Dilunga ambaye hakuwa fiti kutokana na kupambania afya yake imezidi kutengamaa. Kwenye ligi Simba ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 67 na vinara ni Yanga wenye pointi 74. Yanga wametwaa taji la ligi ikiwa imebakiwa na mechi mbili mkononi. Dilunga hakuwa…
MENEJA wa Liverpool, Jurgen Klopp ameweka wazi kuwa licha ya timu hiyo kukwama kumaliza ndani ya nne bora bado wachezaji walikuwa na ushirikiano mkubwa. Amebainisha kuwa licha ya kukatishwa tamaa kwa kukosa kufuzu kwa soka ya Ligi ya Mabingwa, Klopp amesifu umoja wa wachezaji na wafuasi baada ya kuwa kwenye msimu mgumu. Mshambuliaji Mohamed Salah…
KIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amefungukia kuhusu mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Waarabu wa Algeria unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 28 Yanga wakianzia nyumbani.
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanamechi mbili za moto kukamilisha mzunguko wa pili msimu wa 2022/23 kwa kucheza kete zao mbili. Azam FC watacheza mchezo wa fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Yanga ilipata ushindi dhidi ya Singida Big Stars huku Azam FC ikiwatungua Simba, Uwanja wa…
WAPINZANI wa Yanga kwenye mchezo wa kimataifa unaotarajiwa kuchezwa Mei 28, 2023 Uwanja wa Mkapa wamewasili ardhi ya Tanzania. Ni alfajiri ya leo wamewasili kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. USM Alger ya Algeria ni wapinzani wa Yanga ambao watacheza fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa. Saa…
ISSA Azam acharuka awavaa Yanga kuelekea mchezo wao wa kimataifa Mei 28,2023 Uwanja wa Mkapa
USAJILI wa Chivaviro Yànga SC kama muvi, Simba yashusha chuma kipya ndani ya Championi Ijumaa
ANAANDIKA Feisal Salum namna hii:-“Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi kijana wenu ambaye kwa miaka yote nimekua na nidhamu nje na ndani ya uwanja na kwa dhati nimeitumikia Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania na Zanzibar Heros. “Utiifu wangu umekua shubiri ya maisha yangu ya…
HESABU za kwenye Ligi Kuu Bara kwa sasa zimeshafungwa kwa baadhi ya timu kutokana na kuvuna kile ambacho wamekipanda, Yanga ni mabingwa wa ligi na wametinga hatua ya fainali ya Azam Sports Federation. Ni dhidi ya Singida Big Stars walipenya kwenye nusu fainali na sasa watakwenda kumenyana na Azam FC, Mkwakwani Tanga. Ruvu Shooting ya…
JULIO Enciso aliingia katika kinyang’anyiro cha bao bora la msimu huku Brighton wakishangilia nyuma mabingwa Manchester City na kutoka sare ya 1-1 na kupata kufuzu kwa Ligi ya Europa kwa mara ya kwanza. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 alifunga bao la kustaajabisha katika ushindi wa timu yake dhidi ya Chelsea mwezi uliopita na…
INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga umeanza mazungumzo na Klabu ya Sekhukhume ya Afrika Kusini ili kufikia makubaliano ya kumuuza Feisal Salim. Kiungo huyo mali ya Yanga yupo kwenye mvutano na mabosi wa timu hiyo ambayo Mei 28 itacheza fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria. Taarifa zumeeleza kuwa…
IMEELEZWA kuwa winga Leandre Onana mwenye miaka 23 mali ya Rayon Sports ya Rwanda yupo kwenye hesabu za mabosi wa Simba. Timu hiyo imekosa taji la Ligi Kuu Bara ambao upo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Nyota huyo ni winga ametupia mabao 15 na pasi 10 za mabao ametoa ndani ya…
KOCHA wa Waarabu aipa Yanga Kombe, Robertinho atembea na faili jipya la usajili ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
MAJEMBE saba yanayovuja jasho la haki ndani ya kikosi cha Simba yamewapa kicheko Simba wakiamini kuwa hawajabahatisha kupenya kwenye orodha ya kuwania tuzo bali ubora umewabeba. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea nafasi ya pili. Pia Yanga Mei 28 2023 inakwenda kucheza mchezo wa fainali ya Kombe la…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameunga mkono hamasa ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kununua tiketi 1,000 za mchezo wa fainali kati ya Yanga dhidi ya USM Alger. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Jumapili ambapo hamasa zimeendelea kwa sasa mpaka Mei 28 siku ya mchezo. Rais Samia amekuwa…