
SIMBA WAANZA KAZI KUKAMILISHA MECHI MBILI
MECHI mbili zimebaki kwa Simba kukamilisha ndani ya msimu wa 2022/23 ikiwa ni dakika 180. Simba ipo nafasi ya pili kwenye msimamo na vinara wa ligi ni Yanga ambao wametwaa ubingwa wa ligi msimu huu. Ikumbukwe kwamba Yanga inaiwakilisha Tanzania kwenye anga za kimataifa ikiwa ipo hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika na itapambana…