Home Sports VIDEO:NYOTA YANGA AFUNGUKIA ISHU YA FAINALI KIMATAIFA

VIDEO:NYOTA YANGA AFUNGUKIA ISHU YA FAINALI KIMATAIFA

NYOTA Yanga afungukia ishu ya fainali kimataifa ni David Bryson amesema kuwa hawana hofu na wamejiaandaa kwa umakini kwa ajili ya mchezo huo.

Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya USM Alger kwenye hatua ya fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika.

Previous articleKIUNGO HUYU WA KAZI SIMBA MAMBO FRESH
Next articleMAYELE:HAWA USM ALGER SIWAACHI, BOSI SIMBA APEWA FAILI LA MKATA UMEME