Home Uncategorized VIDEO:NKANE AFUNGUKIA KUHUSU WAARABU KWA MKAPA

VIDEO:NKANE AFUNGUKIA KUHUSU WAARABU KWA MKAPA

KIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amefungukia kuhusu mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Waarabu wa Algeria unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 28 Yanga wakianzia nyumbani.

Previous articleMATAJIRI WA DAR KWENYE DAKIKA 180 ZA MOTO
Next articleLIVERPOOL YAKAMWA KUTINGA NNE BORA, WAJIVUNIA HIKI