
BEKI AVUNJA MKATABA SIMBA
BEKI mwili nyumba wa Simba, Mohammed Ouattara, ameona isiwe shida na kufikia makubaliano mazuri na klabu hiyo, ya kuvunja mkataba ili aondoke hapo Msimbazi. Outtara ni kati ya wachezaji waliosajiliwa na Simba katika usajili mkubwa msimu huu akitokea Al Hilal ya nchini Sudan akisaini mkataba wa miaka miwili. Beki huyo alisajiliwa na Simba kwa ajili…