
SINGIDA BIG STARS WAO YANGA AMA GEITA HAINA TATIZO
BAADA ya kufanikiwa kukata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation Kocha Mkuu wa Singida Big Stars Hans Pluijm amesema kuwa iwe Yanga ama Geita Gold wapo tayari kuwakabili. Singida Big Stars ilipata ushindi dhidi ya Mbeya City kwa mabao 4-1 mchezo war obo fainali uliochezwa Uwanja wa Liti. Kocha huyo amebainisha…