Home Sports TUZO LIGI KUU BARA KIVUMBI TUPU,PILATO WA SIMBA V YANGA NDANI

TUZO LIGI KUU BARA KIVUMBI TUPU,PILATO WA SIMBA V YANGA NDANI

KAMATI ya Tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzaniam (TFF) imefanya uteuzi wa washiriki katika makundi mbalimbali ya Tuzo hizo.

Ni makundi matano ambayo ni Tuzo ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation

Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake

Tuzo za Ligi Kuu Bara

Tuzo za Utawala

Tuzo za Ligi nyingine

Hizi ni tuzo za Ligi Kuu Bara

Mchezaji bora

Mzamiru Yassin wa Simba

Fiston Mayele wa Yanga

Bruno Gomes wa Singida Big Stars

Djigui Diarra wa Yanga

Saido Ntibanzokiza alianza na Geita Gold sasa yupo Simba

Kipa bora

Aishi Manula wa Simba

Diara wa Yanga

Benedict Haule wa Singida Big Stars

Beki bora

Dickson Job wa Yanga

Henock Inonga wa Simba

Bakari Mwamnyeto wa Yanga

Shomari Kapombe wa Simba

Mohamed Hussein wa Simba

Kiungo bora

Bruno Gomes wa Singida Big Stars

Mzamiru wa Simba

Stephan Aziz KI wa Yanga

Clatous Chama wa Simba

Ntibanzokiza

Kocha bora

Nasreddine Nabi wa Yanga

Hans Pluijm wa Singida Big Stars

Roberto Oliveira wa Simba

Mchezaji Chipukizi

Clement Mzize wa Yanga

Edmund John wa Geita Gold

Lameck Lawi wa Coastal Union

Meneja bora wa uwanja

Omari Malule Uwanja wa Highland Estate, Mbeya

Hassan Simba Uwanja wa Liti, Singida

Amir Juma wa Uwanja wa Azam Complex Dar

Kikosi bora kitatangazwa siku ya tarehe ya Tuzo

Timu yenye nidhamu

KMC

Ruvu Shooting

Tanzania Prisons

Mwamuzi bora

Jonesia Rukyaa kutoka Kagera

Tatu Malogo kutoka Tanga

Ramadhan Kayoko kutoka Dar

Mwamuzi msaidizi bora

Mohamed Mkono kutoka Tanga

Frank Komba kutoka Dar

Janeth Balama kutoka Iringa

Previous articleTUZO YA AZAM SPORTS FEDERATION SIMBA HAWAJAPENYA
Next articleVIDEO:ISHU YA KUKOSA UBINGWA MIAKA MIWILI JEMBE AMVAA MO