
BETO YA VIUNGO SIMBA NI PASUA KICHWA
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira amefichua mpaka sasa hana presha yoyote juu ya safu yake ya kiungo kutokana na ubora mkubwa unaonyeshwa na viungo wake wa kati, Mzamiru Yassin na Fabrice Ngoma hali inayopelekea kupata ugumu wa chaguo la kwanza. Ikumbukwe kwamba Simba ilipishana na taji la ligi msimu wa 2022/23 liliobukia Jangwani…