
LEO NI LEO, YOTE KUFAHAMIKA UWANJA WA MKAPA
HATIMAE ni leo ni siku ya SportPesa Wiki ya Mwananchi, Uwanja wa Mkapa ikiwa ni maalumu kwa ajili ya Yanga na mashaiki wa mpira duniani kote. Yanga itakuwa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Unasikia hii imeendaaa, ni…