
YANGA YASAINI DILI NONO KUELEKEA KUWAKABILI WAARABU
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri, Yanga imesaini mkataba wa muda wa siku saba wenye thamani ya milioni 40 ikiwa ni milioni 20 kila siku. Ni mkataba kati ya Yanga SC dhidi ya Zanzibar Investment Promotion Authority, (ZIPA) na Zanzibar Revenue Authority, (ZRA) ikiwa ni siku maalumu…