
MZIZIMA DABI: YANGA 3-2 AZAMM FC
MZIZIMA Dabi inapigwa Oktoba 23,2023 Uwanja wa Mkapa kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu baada ya dakika 45. Dakika 45 za mwanzo timu zote zinakwenda bao ulikuwa unasoma 1-1. Ni Aziz KI alianza kufunga kwa Yanga dakika ya 8 akimtungua Idrissu Abdulai na bao la usawa kwa Azam FC limefungwa na Gibrril Sillah dakika…