
YANGA KAZI KAZI KUWAKABILI WAARABU
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa mpango kazi mkubwa kwenye mechi yao dhidi ya Waarabu wa Algeria, CR Belouizdad. Timu hiyo inakibarua cha kuanza kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya makundi Novemba 24 kisha wakimaliza kazi hiyo watarejea Dar kumenyana na Al Ahly Desemba 2. Gamondi amesema kuwa kila mchezo ni…