NABI:MIMI NI MTU WA KAZI SIO MANENOMANENO

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa yeye ni mtu wa mpira na hapendi manenomaneno. Timu hiyo kwa sasa inaendelea na maandalizi kuelekea katika mchezo wa Kariakoo Dabi ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki pamoja na wadau wa mpira. Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 19 inatarajiwa kumenyana na Simba iliyo…

Read More

MAYELE MTU WA KAZIKAZI, KAMBEBA SALIM

FISTON Mayele moja ya washambuliaji wenye akili na wanalijua lango dhidi ya Simba Aprili 16 anashikilia rekodi ya kupiga mashuti mengi yaliyolenga lango. Ni ubora wake kwenye kutafuta kufunga kumemfanya kipa wa Simba aonekane ni bora kutokana na kuwa makini kwenye kuokoa hatari hizo. Ingekuwa angekwama kuokoa hatari alizopigiwa na Mayele ingekuwa ni habari nyingine…

Read More

HASSAN DILUNGA APEWA TUZO YAKE HUKO MSIMBAZI

HASSAN Dilunga kiungo wa wa Wekundu wa Msimbazi, Simba amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Oktoba inayodhaminiwa na Emirates Aluminium ACP kwa kuwashinda Sadio Kanoute na Rally Bwalya aliokuwa nao fainali.   Kwa mwezi Oktoba, Dilunga amekuwa ni chaguo la kwanza kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na alianza pia kwenye mchezo walionyooshwa…

Read More

KIMATAIFA SIMBA YAPIGA MASHUTI 20

NYOTA wa Simba wanaonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi mbele ya USGN rekodi zinaonyesha kwamba walipiga mashuti 20 langoni kwa wapinzani wao. Haikuwa kazi rahisi kwa Simba kuweza kufanikisha lengo lao kwa kuwa kipindi cha kwanza safu ya ushambuliaji ilikosa umakini ndani ya dakika 45 licha…

Read More

HII HAPA AHADI YA PACOME YANGA

KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua amepanga kuwa na msimu mzuri katika msimu ujao, ikiwemo kuendelea kuipa mataji timu hiyo. Nyota huyo ni kati ya wachezaji walitoa mchango mkubwa katika kikosi hicho, ikiwemo kutetea Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na kuifikisha timu katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu huu….

Read More

HATMA YA JUMA MGUNDA SIMBA IMEKAA HIVI

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa umempa mkataba wa muda kocha Juma Mgunda na hatma yakeipo kwa kocha mpya ambaye atakuja kukinoa kikosi hicho hivi karibuni. Mgunda amekabidhiwa timu na mabosi wa Simba baada ya kutangaza kuachana na Mserbia, Zoran Maki ambaye alikiongoza kikosi hicho kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na alishinda zote. Maki ametangazwa…

Read More

SIMBA YATINGA HATUA YA MAKUNDI, KOCHA AWAKA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba wanatinga hatua ya makundi wakiwa hawana furaha mashabiki, huku Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akiweka wazi kuwa umakini kwenye umaliziaji nafasi uliwaponza. Simba wanatinga hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla ya mabao 3-3 faida ya mabao ya ugenini kwa kuwa mchezo wa kwanza ubao ulisoma Power Dynamos…

Read More

BOSI MO AIBUKA NA JAMBO HILI SIMBA

BAADA ya kimya cha muda tangu ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-5 Yanga, hatimaye ameibuka bosi wa Simba na kuwaomba mashabiki watulie kipindi hiki cha mpito. Ni Rais wa Heshima wa Simba , Mohamed Dewji amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho kumekuwa na minong’ono ya hapa na pale….

Read More

HITIMANA AUTAKA UBINGWA SIMBA

HITIMANA Thiery, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba amebainisha kuwa timu hiyo inahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa ni timu kubwa na inawezekana kutokana na ukubwa wa timu hiyo. Mchezo wa kwanza kukaa kwenye benchi akiwa ni kaimu baada ya Didier Gomes kubwaga manyanga ilikuwa ni mbele ya Polisi Tanzania na Simba ilishinda…

Read More

MWAMBA SKUDU AMPA NGUVU GAMONDI

SKUDU Makudubela ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga limeogeza nguvu katika kikosi hicho kinachoongoza ligi baada ya kukusanya pointi sita na mabao 10. Makudubela hakuwa katika mechi hizo mbili za ligi za ushindani ambazo ni Yanga 5-0 KMC na Yanga 5-0 JKT Tanzania kutokana na kutokuwa fiti baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa…

Read More

SITA WACHAGULIWA KAMATI YA MASHINDANO YANGA

 RAIS wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ameteua Wajumbe wa Kamati ya Mashindano Yanga Injinia ameweza kuteua kamati hiyo kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ili kuweza kuunda kamati hiyo maalumu.  Ni wajumbe 6 wametangazwa leo Agosti 10.2022 kuweza kuwa katika kamati hiyo kutimiza majukumu yao. Ni pamoja na Mustapha Himba,Lucas Mashauri,Seif Ahmed,(Magari),Pelegrius Rutayunga,Davis…

Read More

MABINGWA WATETEZI WAREJEA DAR

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba leo Januari 27,2022 wamerejea salama Dar es Salaam. Timu ya Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco raia wa Hispani ilikuwa Kagera ambapo ilikuwa na mchezo wa ligi uliochezwa jana Januari 26. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Kaitaba ulisoma Kagera Sugar 1-0 Simba na…

Read More

FEI TOTO ANA BALAA HUYO

MKALI wa pasi za mwisho Bongo ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora Afrika balaa lake sio jepesi akiwa uwanjani kutokana na kasi anayoendelea nayo kiungo Feisal Salum mali ya Azam FC. Timu hiyo kwenye msimamo ipo nafasi ya tatu baada ya kucheza mechi 18 ikiwa imekusanya jumla ya pointi…

Read More

MPIRA SIO VITA MUHIMU KULINDANA WACHEZAJI

MASHABIKI furaha yao ni kuona wachezaji wakicheza kwa umakini na kuipa ushindi timu yao ambayo wanaishangilia. Ipo hivyo hata kwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wenyewe wanapokuwa ndani ya uwanja. Mashabiki wa Singida Fountain Gate wanapenda kuona timu ikipata matokeo mazuri hata wale wa Kagera Sugar nao pia wanapenda kupata matokeo mazuri. Miongoni mwa…

Read More