JEMBE AIKOSOA BAJETI YA YANGA NA KUTOA USHAURI KWA VIONGOZI NA WANACHAMA

LEGEND Jembe amezungumzia suala la mapato na matumizi ya Yanga, mapato na matumizi pamoja na deni ambalo lipo kwa Yanga huku akibainisha kuwa sio jambo zuri lakini mafanikio yamepatikana. Jembe amebainisha kuwa kuna haja ya kuziendesha timu kwa mfumo wa biashara ambacho kinapaswa kurekebishwa na zikifanyiwa kazi zitawapa faida Yanga.