SportsWAZIRI WA FEDHA ATHIBITISHA KUTUMIKA KWA VAR KWENYE LIGI KUU Saleh6 months ago01 mins Akisoma Bajeti ya Fedha 2024/25 Waziri Wa Fedha Dr. Mwigulu Lameck Nchemba amethibitisha kutumika kwa VAR kwenye Ligi kuu lakini pia ameomba kusiwepo na Kodi Kwa vifaa vya VAR. Post navigation Previous: JEMBE AIKOSOA BAJETI YA YANGA NA KUTOA USHAURI KWA VIONGOZI NA WANACHAMANext: LIVE BUNGENI: WAZIRI MWGULU ANAWASILISHA MAKADIRIO NA MATUMIZI YA BAJETI KUU YA SERIKALI 2024/2025