
NYOTA HUYU SIMBA KUIBUKIA RAJA CASABLANCA
INAELEZWA kuwa mtambo wa mabao ndani ya Simba kwa 2023/24 Jean Baleke yupo kwenye hesabu za kuibukia ndani ya Klabu ya Raja Casablanca kwa ajili ya kuanza changamoto mpya huko baada ya kukutana na Thank You ndani ya Simba