
TAIFA STARS KWENYE MIKONO YA MAKOCHA HAWA
KUELEKEA mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora katika Kombe la Mataifa Afrika, Tanzania inatarajiwa kushuka uwanjani kwa mara nyingine dhidi ya Zambia. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Januari 21 baada ya ule wa kwanza kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Morocco.Ni Kocha Hemed Selemani Morocco, anachukua nafasi ya Adel Amrouche na…