
SIMBA KAZINI LEO FA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa baada ya kuwa chimbo kwa muda mrefu wanarejea ndani ya Februari kutoa burudani mwanzo mwisho kwenye mechi ambazo watacheza kitaifa na kimataifa. Ikumbukwe kwamba Simba mara ya mwisho kushuka uwanjani kwenye mechi za ushindani ilikuwa ni Januari 13 Uwanja wa Amaan uliposoma Mlandege 1-0 Simba, Kombe la Mapinduzi 2024….