
HIZI HAPA REKODI ZA RAUNDI YA SABA LIGI YA WANAWAKE BONGO
LIGI ya Wanawake Tanzania kazi inaendelea kwa kila timu kuwa kwenye msako wa pointi tatu na kwenye raundi ya saba kuna maajabu saba yameandikwa tunakugusia baadhi namna hii:- Mabao 12 yamefungwa kwenye mzunguko wa saba baada ya mechi tano kuchezwa ikionyesha ugumu wa ligi kuendelea tofauti na ilivyokuwa mzunguko wa sita yalipofungwa mabao 13. Hakuna…