
HII HAPA SABABU YA MECHI YA SIMBA NA MTIBWA SUGAR KUYEYUKA
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro unatarajiwa kupangiwa tarehe mpya baada ya kupanguliwa kutokana na maandalizi ya mechi za kimataifa. Klabu ya Simba chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mechi 15 imekusanya pointi 36 ikiwa nafasi ya pili. Mchezo…