
SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA GEITA GOLD
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unazihitaji pointi tatu za Geita Goled kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.Ipo wazi kwamba na mabosi wa Geita Gold nao wanazihitaji poiti tatu hivyo mchezo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita ikiwa nyumbani, ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Simba 1-1 Azam FC huku wafungaji wakiwa…