
ANATENGENEZA PACHA YA MABAO NDANI YA YANGA GAMONDI
ANATENGENEZA pacha ya mabao ndani ya Yanga Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ili kupata mabao mengi zaidi kwenye mechi ambazo watacheza
ANATENGENEZA pacha ya mabao ndani ya Yanga Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ili kupata mabao mengi zaidi kwenye mechi ambazo watacheza
REKODI zinazidi kuandikwa kila leo ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania huku raundi ya 8 ikiwa ni ya kipekee kwenye upande wa mabao ya jumla kufungwa ambayo ni 16. Ikumbukwe kwamba raundi ya 7 yalikusanywa jumla ya mabao 12 huku ile raundi ya sita yakikusanywa jumla ya mabao 13. Rekodi hizo katika raundi mbili zote…
KIUNGO wa kazi amerejea ndani ya Simba na kushusha presha kwenye eneo hilo ambalo analifanyia kazi. Ni Fabrince Ngoma chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha yupo na kikosi kamili kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake
Je ni Nigeria au Ivory Coast siku ya Jumapili fainali ya AFCON?. Hatimaye sasa mbivu na mbichi kufahamika siku hiyo ambapo timu hizo mbili zitakuwa zikiwania ushindi wa Kombe hilo kubwa Barani AFRIKA. Jumapili ndipo Fainali ya michuano hii ya AFCON 2023 itatamatika kwa kushuhudia fainali kali kati ya Nigeria dhidi ya Ivory Coast ambao…
YULEYULE shujaa kwenye mchezo uliopita dhidi ya Dodoma Jiji, Mudathir Yahya leo tena kafunga bao la ushindi dhidi ya Mashujaa. Dakika ya 85 zikiwa zimesalia dakika tano mpira kugota mwisho akafunga bao la ushindi na kuipa pointi tatu Yanga inayofikisha pointi 37 ikiwa namba moja kwenye msimamo. Kipindi cha pili Mashujaa wamepata bao la kuweka…
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini “TASWA Media Day Bonanza 2024”. Bonanza hilo maalumu linatarajiwa kufanyika Februari 10, 2024 Msasani Beach Club, Dar. Tukio hilo linatarajiwa kuanza saa 3:00 asubuhi, litahusisha pia uzinduzi wa Tuzo za Wanamichezo Bora wa…
KWENYE mechi ngumu ambazo wapinzani wa Yanga walikuwa wakicheza kwa kujilinda zaidi, kiungo Mudathir Yahya alikuwa ni mkali wa kutibua mipango hiyo na kuipa timu hiyo pointi tatu mazima Uwanja wa Azam Complex. Ikumbukwe kwamba Yanga ilipata sare yake ya kwanza msimu wa 2023/23 Februari 2 ubao wa Uwanja wa Kaitaba uliposoma Kagera Sugar 0-0…
Ni moja kati ya sehemu ambayo ukiichagua haiwezi kukuangusha, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kwa sababu kila kukicha imekuwa ni sehemu ya tumaini langu na lako, bonasi na ofa mbalimbali za promosheni vinakusubiri kila kukicha. Mwezi huu wa wapenda nao unaweza kumfurahisha mwenza wako, mpenzi au mzazi wako hata rafiki yako kwa sapraizi kibao, haiwezekani kama…
ANAKOSEKANA mtambo wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Miguel Gamondi
KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Alex Song ameweka wazi kuwa wakati anajiunga na Barcelona sehemu ya mkataba uliandikwa kuwa hatokuwa na nafasi ya kucheza mara kwa mara lakini yeye hakujali hasa alipoona atalipwa mshahara mkubwa. Hivyo nyota huyo kwake kucheza haikuwa kipaumbele zaidi macho ilikuwa ni kwenye noti, mkwanja ambao alikwenda kuuvuna hap. Alex Song…
MRITHI wa mikoba ya Jean Baleke ndani ya kikosi cha Simba Micheal Fredy amekingiwa kifua na Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Ahmed Ally kuhusu uwezo wake kwenye upande wa kufunga mabao ndani ya kikosi hicho.
MWENDO wameumaliza DR Congo kwa kupoteza dhidi ya Ivory Coast ambao ni wenyeji wa AFCON 2023 kwa ushindi wa bao 1-0. Bao pekee la ushindi kwa Ivory Coast lilipachikwa kimiani na Sebastien Haller dakika ya 65 likadumu mpaka mwisho wa mchezo huo. Katika nusu fainali ya kwanza Nigeria walitangulia kutinga hatua ya fainali Kwa ushindi…
MABOSI wa Yanga wana matumaini makubwa na mshambuliaji wao mpya, Joseph Guede huku ukiamini kuwa nyota huyo atafaidika zaidi mara atakaporejea kiungo Mburkinabe, Stephen Aziz Ki. Kiungo huyo muda wowote kuanzia jana alitarajiwa kutua nchini kwa ajili ya kuuwahi mchezo wa ligi kuu dhidi ya Prisons Jumapili hii baada ya kuondolewa katika Fainali za Kombe…
SUPASTAA wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ ameachia wimbo wake mpya wa Dah! amemshilikisha Supastaa wa Bongo Fleva, Alikiba.
Kocha wa Ivory Coast Emerse Fae, alielezea ushindi wa timu yake kwenda hadi fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kuwa “kama ndoto” baada ya wenyeji hao wa michuano ya mwaka 2024 kuwalaza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 1-0 katika mechi ya mchujo Jumatano. Sebastien Haller alifunga bao pekee la ushindi dakika ya 65 katika…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga ni kazi juu kazi ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na mechi zao kuwa bandika bandua. Ikumbukwe kwamba Yanga chini ya Miguel Gamondi ambaye ni kocha mkuu ina kazi ya kutetea taji la ligi baada ya kutwaa 2022/23. Inaendelea kupambania pointi tatu ndani ya ligi kwa Februari ilipofungulia…