Home Uncategorized RATIBA YA CRDB FEDERATION CUP IPO HIVI

RATIBA YA CRDB FEDERATION CUP IPO HIVI

NI raundi 16 kwa sasa imefika kwenye ushindani wa mashindano ya CRDB Federation Cup iliyobadilishwa jina rasmi Aprili 2 2024 baada ya mdamini mkuu kupatikana. Ikumbukwe kwamba awali mashindano hayo yalikuwa yanaitwa Azam Sports Federation.

Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi hii hapa ratiba kamili itakavyokuwa kwa kila timu kusaka ushindi namna hii:-

Aprili 2 2024
Namungo v Kagera Sugar, Saa 2:00 usiku

Aprili 3 2024
Geita Gold v Rhino Rangers

Aprili 4 2024
Singida Fountain Gate v Tabora United

Aprili 5 2024
Coastal Union v JKT Tanzania

April 6 2024
KMC v Ihefu

Aprili 7 2024
Azam FC v Mtibwa Sugar

Aprili 9 2024
Mashujaa v Simba

Aprili 10 2024

Dodoma v Yanga

Previous articleMTAMBO WA MABAO YANGA CAF KAMILI GADO
Next articleSIMBA YAWAFUATA AL AHLY MISRI KAMILI