Home Sports ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KINAWAKA LEO

ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KINAWAKA LEO

Usiku wa kusisimua zaidi kwa wapenda soka duniani kote unarejea leo ambapo utaenda kushuhudia michezo mikali ikipigwa katika viwanja viwili tofauti katika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.

Miamba ya soka kutoka nchini Hispania klabu ya Real Madrid itamenyana na  klabu ya Manchester katika mchezo wa kwanza wa robo fainali, Huku vinara wa ligi kuu nchini Uingereza wakiwakaribisha Fc Bayern Munich kutoka nchini Ujerumani.

Real Madrid leo watakua nyumbani katika dimba lao la Santiago Bernabeu wakiwakaribisha klabu ya Manchester City katika mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya michuano hiyo, Ikumbukwe mara ya mwisho walikutana katika hatua ya nusu fainali na Real Madrid kufurushwa vibaya katika hatua hiyo.

Real Madrid wataingia kwenye mchezo huu kwanza kutafuta ushindi utakaowaeka katika mazingira mazuri ya kufuzu hatua ya nusu fainali, Lakini pia kulipa kisasi kwa kilichowakuta mbele ya Man City msimu ulimalizika ambapo walitupwa nje ya michuano hiyo kwa kipigi kikubwa cha mabao manne kwa bila.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa barani ulaya. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Mchezo mwingine utakua baina ya vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya soka ya Arsenal ambapo watakipiga dhidi ya klabu ya Bayern Munich katika dimba lao la Emirates mchezo mwingine ambao unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa.

Ikumbukwe pia mchezo hautakua wakawaida kwani Arsenal nao watahitaji kufuta uteja wa muda mrefu ambao wamekua nao mbele ya klabu ya Fc Bayern Munich, Hivo mchezo wa leo pia ni wa kulipa kisasi kwa klabu hiyo kutoka Kaskazini mwa jiji la London.

Vilabu hivi vinakutana kipindi ambacho Bayern Munich wanaonekana hawako kwenye ubora mkubwa huku Arsenal wao wakiwa kwenye fomu ya maisha yao, Jambo ambalo linafanya mashabiki wengi wa soka kuamini unaweza kua wakati sahihi wa Arsenal kulipa kisasi cha mateso ya muda mrefu ambayo wamekua wakipitia mbele ya Bayern Munich.

Michezo yote ya leo inapatikana pale Meridianbet na imepewa ODDS KUBWA ambazo zinaweza kukufanya ukaibuka na mkwanja wa kutosha, cha kufanya ni wewe kutengeneza mkeka wako kupitia michezo hii ya kukata na shoka uweze kupiga mkwanja.

Previous articleRATIBA YA MICHEZO ILIYOSALIA YA LIGI KUU
Next articleWILD MIRAGE KASINO MPYA YA MTANDAONI KUTOKA MERIDIANBET