FREDDY NA GUEDE HAPA VIPI? CHAMA AFUTA MABAO YAKE

Freddy na Guede hapa VIPI? Clatous Chama mwamba wa Lusaka amefuta mabao yake yote Soma Gazeti la Championi kwa urahisi mtandaoni kupitia Global App: https://globalapp.co.tz Au M-Paper: https://shorturl.at/dxABL Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa Gusa link hii kusoma Gazeti la Championi leo Jumatatu Feburuari 19, 2024 kila siku kupitia link hii…

Read More

TABORA UNITED WATUMA UJUMBE HUU AZAM FC

KOCHA Mkuu wa Tabora United, Goran Kopunovic amebainisha kwamba mchezo wao dhidi ya Azam FC hautakuwa mwepesi kutokana na wapinzani wao kuwa imara kwenye kusaka matokeo. Ipo wazi kuwa Azam FC ipo nafasi ya tatu mchezo wao uliopita wa kufunga mzunguko wa kwanza walipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold mchezo uliochezwa Uwanja…

Read More

MERIDIANBET SEHEMU PEKEE YA KUPIGA MKWANJA LEO

Usihangaike kwenda popote sehemu ni moja tu yenye ODDS za uhakika na kubwa Meridianbet ndio mahali unaweza weka mkeka wako na kujipigia mkwanja bila wasiwasi, Hivo wewe mteja kupitia michezo mikali itakayopigwa leo nafasi yakupiga mkwanja na mabingwa wa hao wa michezo ya kubashiri ipo nje nje. Michezo hiyo itapigwa kuanzia ligi kuu ya Uingereza,…

Read More

KMC 0-3 YANGA, JAMHURI, MOROGORO

FT: Uwanja wa Jamhuri, Morogoro KMC 0-3 Yanga Goal Pacome dakika ya 60 Goal Muadthir Yahya dakika ya kwanza, 53 Bao la mapema zaidi kwa Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara limefungwa mzunguko wa pili na Mudathir Yahya Uwanja wa CCM Kirumba dakika ya kwanza. Ikumbukwe kwamba bao la kwanza kwenye mzunguko wa kwanza lilifungwa…

Read More

TATU BORA KIVUMBI, ZOTE ZASHINDA

LIGI Kuu Tanzania Bara ushindani wake unazidi kuwa mkubwa kila wakati huku tatu bora vita ikiwa ni kubwa Kwa kila timu. Azam FC walifunga Februari 16 ubao ulisoma Azam FC 2-1 Geita Gold mabao yalifungwa na Tariq Seif dakika ya 41, Gibril Sillah dakika ya 44 na makali ya Idd Suleiman Nado yalionekana dakika ya…

Read More

Bashiri na Meridianbet Mechi za Leo

Ijumaa ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Laliga, Bundesliga, Ligue 1 na nyingine nyingi. Huu ndio muda wa wewe kujipigia mkwanja sasa tengenzeza jamvi lako na upige pesa hapa. Kivumbi kitakuwa pale BUNDSLIGA kwenye mechi hii inayowakutanisha FC Cologne dhidi ya Werder Bremen. Timu hizi zimepishana pointi 10 pekee huku ushindi akipewa mwenyeji ndani…

Read More