Home Sports EUROPA ya Leo una nafasi ya kutusua mkwanja leo

EUROPA ya Leo una nafasi ya kutusua mkwanja leo

EUROPA imefika mapema tuuh na wewe mteja wa meridianbet una nafasi ya kutusua mkwanja leo hii endapo utabashiri kwa usahihi mechi zako zote huku kukiwa na machaguo zaidi ya 1000. Michezo ya Kasino pia ipo cheza sasa.

West Ham United atamleta nyumbani kwake Bayer Leverkusen ambaye ndiye bingwa wa Bundesliga ambalo alilichukua wiki iliyopita. Mechi ya kwanza Alonso alishinda akiwa kwake. Je leo hii atasonga hatua ya nusu fainali? Mechi hii imepewa ODDS 4.90 kwa Wagonga Nyundo na 1.83 kwa mgeni. Jisajili hapa.

Huku Liverpool wao watasafiri hadi Italia kulipa kisasi dhidi ya Atalanta ambao mechi ya kwanza waliwafunga wakiwa Anfield. Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 4:00 usiku meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi Klopp na vijana wake kwa ODDS 1.57 kwa 4.90. Je Gasperin anaweza kubali kupigika nyumbani huku akiwa na uongozi wa mabao 3-0?. Beti mechi hii.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine hii hapa ambayo itazikutanisha timu mbili kutoka Italia ambazo zinashiriki ligi moja, yaani namaanisha AS Roma dhidi ya AC Milan ambayo ipo chini ya kocha mkuu Stephano Pioli.

AS Roma ambao wametoka kumuongezea mkataba kocha wao walishinda mechi ya kwanza walipokutana kule San Siro. Je leo hii Milan wanaweza nao shind awkaiwa ugenini? Meridianbet wamempa Pioli na vijana wake anafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.28 kwa 2.99. Tengeneza jamvi lako hapa.

Wakati Olympique Marseille atakipiga dhidi ya SL Benfica kutoka Ureno ambaye alishinda mechi ya kwanza. Marseille anataka kulipa kisasi na kushinda leo kwa ODDS ya 2.35 kwa 2.84. Wewe nani unaona atakupa pesa?. Suka jamvi lako sasa.

Previous articleMASTAA WALIOFUNGA KARIAKOO DABI
Next articleMERIDIANBET KASINO MGODI WA MADINI NA MAOKOTO