Home Sports PSG YATINGA NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA, BARCELONA YATUPWA NJE

PSG YATINGA NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA, BARCELONA YATUPWA NJE

PSG imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 6-4 dhidi ya Barcelona katika dimba la Estadi Olímpic Lluís Companys (Barcelona) kwenye mchezo wa robo fainali.

FT: Barcelona 🇪🇸 1-4 🇫🇷 PSG (Agg. 4-6)
⚽ Raphinha 12’
🟥 Araujo 29’
⚽ Dembele 40’
⚽⚽ Mbappé (P) 54’ 89’
⚽ Vitinha 61’

PSG itachuana na Dortmund kwenye nusu fainali.

Previous articleNani ni Nani Leo Usiku wa Ulaya?
Next articleDORTMUND YATINGA NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA