
YANGA NA 5 G YATUPA DONGO KIMTINDO SIMBA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa wale wanaosema ushindi wao kàtika mechi za Ligi Kuu Bara ni wa mchongo wajiulize wao walifungwa ngapi walipokutana nao. Machi 11 2024 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 5-0 Ihefu na pointi tatu zikiwa ni mali ya Yanga. Mabao ya Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya…