SIMBA AKILI KWA ASEC MIMOSAS ZIPO HIVI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya ASEC Mimosas. Timu hiyo inatarajiwa kusaka ushindi kwenye mchezo huo wa hatua ya makundi Uwanja wa Mkapa Novemba 25 ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa…

Read More

TAIFA STARS KUPOTEZA DHIDI YA MOROCCO UBORA UMEAMUA

MCHEZO uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 21 2023 umeacha maumivu kwa mashabiki kwa kushuhudia timu pendwa ikipoteza. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Tanzania 0-2 Morocco huku nyota Dismas akiingia kwenye orodha ya wachezaji walioonyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano. Ni mabao ya Hakim Ziyechi dakika ya 28 na Lusajo Mwaikenda…

Read More

YANGA KAZI KAZI KUWAKABILI WAARABU

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa mpango kazi mkubwa kwenye mechi yao dhidi ya Waarabu wa Algeria, CR Belouizdad. Timu hiyo inakibarua cha kuanza kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya makundi Novemba 24 kisha wakimaliza kazi hiyo watarejea Dar kumenyana na Al Ahly Desemba 2.  Gamondi amesema kuwa kila mchezo ni…

Read More

FELIX MINZIRO APEWA MKONO WA ASANTE

RASMI Tanzania Prisons imeachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Freddy Felix Kataraiya Minziro kufuatia matokeo yasiyoridhisha na sasa Maafande hao watabaki chini ya msaidizi, Shaban Mtupa. Minziro alijiunga na Wajelajela hao mapema msimu huu ambapo ameiongoza mechi tisa za mashindano ya Ligi Kuu akishinda mechi moja, sare nne na kupoteza minne na kuwa…

Read More

HONGERENI STARS, KAZI BADO HAIJAGOTA MWISHO

TUMEONA namna ambavyo wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars walivyokamilisha majukumu yao kwa kupata ushindi. Haikuwa kazi rahisi kushinda mchezo dhidi ya Niger ugenini hivyo wanastahili pongezi. Kuanzia benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki pongezi zinawastahili kwa kuwa wamefanya kazi kubwa. Furaha ambayo wameipata wachezaji inapaswa kuwa endelevu. Furaha ambayo wameipata mashabiki…

Read More

MASTAA AZAM FC WAONGEZEWA MAUJANJA

YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji wake kuongeza umakini wakiwa kwenye mechi za ushindani ili kupata matokeo mazuri. Timu hiyo kwenye mechi mbili za ugenini ilikomba pointi zote sita kwa sasa ipo Dar kwa maandalizi ya mchezo wake ujao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar. Ni pointi 19…

Read More

SIMBA YATAMBIA HIKI KUWAKABILI ASEC

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawaonyesha nguvu ya mashabiki wapinzani wao ASEC Mimosas kwa vitendo kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo. Novemba 25 Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa wakiwa na tuzo ya mashabiki bora wa African Fotball League.  Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano…

Read More

BOSI YANGA ANUNUA KESI YA WAARABU WA SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu katika Ligi ya Mabingwa Afrika ni kupata pointi tatu kwenye kila mchezo ikiwa ni pamoja na Waarabu wa Misri, Al Ahly. Ikumbukwe kwamba Al Ahly waliwafungashia virago Simba kwenye African Footbal League kwa faida ya mabao ya nyumbani baada ya mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao kusoma Simba…

Read More

STARS YAPETA, MTUPIAJI AFUNGUKA

UKIWA ni mchezo wa ugenini kwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Novemba 18 ilifanikiwa kupeta na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali ya Kombe la Dunia 2026. Bao pekee la mchezo huo wa kwanza kuwania kufuzu Kombe la Dunia limefungwa na Charles M’mombwa dakiak…

Read More

CHAMA MAMBO BADO MAGUMU KWAKE

MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama mkali wa pasi za mwisho mambo bado ni magumu kwakwe kwa kushindwa kufurukuta kwenye mechi za hivi karibuni. Ikumbukwe kwamba Oktoba 5 2023 ilikuwa ni mara ya mwisho kwa staa huyo wa Simba raia wa Zambia kufunga ndani ya ligi kwa msimu wa 2023/24. Alifunga bao hilo kwenye mchezo wa…

Read More

KAZI KUBWA IFANYIKE KWA KILA MMOJA

KAZI kubwa inafanyika kwa kila mmoja kuendelea na mapambano kusaka ushindi ndani ya uwanja. Muda ni sasa kuonyesha kwamba inawezekana kupata matokeo ugenini. Benchi la ufundi tunaamini kwamba walipata muda wa kutosha kuzungumza na wachezaji. Sio kuzungumza pekee maneno ya kirafiki bali maneno ya kazi kuendelea kwa kila mmoja kutimiza majukumu yake. Ukweli ni kwamba…

Read More