SINGIDA BIG STARS YALAMBA DILI TAMU
UONGOZI wa Singida big Stars umepata dili tamu la kupata udhamini wa kampuni ya uuzaji mafuta nchini inayoitwa NASSCO Limited. Udhamini huo ni kwa upande wa ujazaji wa mafuta kwenye basi la timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara ikiwa inatumia Uwanja wa Liti kwa mechi zake za nyumbani. Udhamini huo unaanza kufanya kazi kwenye mechi…