
MECHI YA KISASI LEO
WABABE wawili leo wanatarajiwa kuvuja jasho ndani ya dakika 90 kusaka pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa ligi. Ni Ihefu itawakaribisha Azam FC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate. Kila timu itaingia kwa hesabu za kusaka pointi tatu na kuandika rekodi mpya ambapo Ihefu wao wanahitaji kulipa kisasi cha kutunguliwa mchezo wa mzunguko…