
SIMBA:NJOONI MUMUONE CHAMA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Mkapa watamuona Clatous Chama waliyemzoea kwenye mechi za kimataifa. Chama amekuwa akipeta kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa akiwa na hat trick moja dhidi ya Horoya alipofunga mabao matatu lakini hajawahi kuwatungua watani zao wa…