SIMBA KAMILI KUIKABILI NAMUNGO
JUMA Mgunda, kocha msaidizi wa Simba amesema maandalizi yote kwa ajili ya mchezo mgumu dhidi ya Namungo yamekamilika. Simba inatarajiwa kumenyana na Namungo kwenye mchezo wa mzunguko wa pili Uwanja wa Majaliwa saa 1:00 usiku. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita kwa Namungo walipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City na kwa upande wa Simba…