GAMONDI AJA NA MPANGO KAZI WA KUVURUGAVURUGA
MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga amevuruga ramani za wapinzani wao wanaofikiria mbinu yake ya kupata mabao itakuwa kwa washambuliaji wanaonza kikosi cha kwanza ikiwa ni Clement Mzize na Kenedy Musonda. Mrithi huyo wa mikoba ya Nasreddine Nabi ameibuka na mbinu mpya kwenye upande wa ushambuliaji tofauti na Nabi ambaye alikuwa akimtumia Fiston Mayele eneo…