MALENGO YA SIMBA NI KUTWAA MATAJI

MIRTAZA Mangungu, Mwenyekiti wa Klabu ya Simba amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kuhakikisha kwamba wanashinda mataji. Simba ni mabingwa watetezi wa ligi wakiwa nafasi ya pili na pointi 14 huku Yanga wakiwa ni vinara wa ligi na wana pointi 16. Maneno hayo ameyasema katika mkutano mkuu wa Wanachama wa Simba ambao unafanyika…

Read More

YANGA YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA NAMUNGO

KIKOSI cha Yanga kimelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Ilulu. Bao la Namungo limefungwa na Obrey Chirwa dakika ya 53 na bao la kusawazishwa kwa Yanga lilifungwa na Said Ntibanzokiza dk 82 kwa penalti. Inakuwa ni sare ya kwanza kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine…

Read More

RASMI,KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA NAMUNGO

  SAA 10;00 jioni kikosi cha Yanga kitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC mchezo utakaochezwa Uwanja wa Ilulu, Lindi. Hiki hapa kikosi rasmi ambacho kinatarajiwa kuanza leo mbele ya Namungo kusaka pointi tatu muhimu:- Diarra Djidgui Djuma Shaban Kibwana Shomari Dickson Job Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala Tonombe Mukoko Jesus Moloko…

Read More

TANZANIA YASHUKA VIWANGO FIFA

TANZANIA imeshuka nafasi moja kutoka 130 hadi 131 katika viwango vya ubora wa soka vilivyotolewa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, Fifa jana.   Huenda kufanya kwao vibaya katika michezo miwili ya mwisho ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) waliofungwa mabao 3-0 na sare ya bao 1-1…

Read More

NAMUNGO HAWANA DOGO,WATUMA UJUMBE YANGA

UONGOZI wa Namungo umebainisha kwamba malengo makubwa ambayo wanayo ni kuweza kushinda mechi zao zote zilizopo mbele yao ikiwa ni pamoja na ule dhidi ya Yanga. Leo Novemba 20, Namungo FC itawakaribisha Yanga kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu majira ya saa 10:00 jioni. Kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa Namungo FC,…

Read More

YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA NAMUNGO

UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba unahitaji pointi tatu za Namungo kwenye mchezo wa leo Novemba 20 licha ya kwamba utakuwa ni mchezo mgumu. Ikiwa ni namba moja kwenye msimamo na pointi zake 15 baada ya kucheza mechi tano ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC. Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema…

Read More

AZAM FC BILA DUBE MAJANGA

KWENYE safu ya ushambuliaji Azam FC kwa sasa inapata tabu kwelikweli bila ya uwepo wa Prince Dube ambaye anatibu majeraha yake kwa kuwa hakuna mchezaji ambaye ameweza kufikia rekodi ya mabao ambayo aliweza kufunga baada ya kucheza mechi tano. Kwenye mechi tano msimu wake wa kwanza wa 2020/21 nyota huyo alifunga jumla ya mabao sita…

Read More

KMC V AZAM FC YAMEFUNGWA MABAO 13

JUMLA ya mabao 13 yamefungwa kwenye mechi sita ambazo wamekutana wababe wawili KMC na Azam FC. Klabu ya Azam FC wao wametupia mabao nane, huku KMC ikifunga mabao matano kwenye mechi za ligi. Azam FC inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC, Novemba…

Read More

SIMBA YAICHAPA MABAO 3-1 RUVU SHOOTING

KIKOSI cha Simba leo Novemba 19 kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Kwenye mchezo wa leo ambao ulikuwa umegawanywa kwa vipindi viwili ofauti Simba ilikuwa bora kipindi cha kwanza na iliweza kufunga mabao yote matatu kupitia kwa Meddie Kagere dakika…

Read More

KHALID AUCHO KUIKOSA NAMUNGO KESHO

KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho ni miongoni mwa wachezaji ambao wataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Namungo FC. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Namungo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu, Lindi. Sababu kubwa ya nyotahuyo kukosa mchezo huo ni majeraha ambayo aliyapata kwenye mguu wa kulia…

Read More

GADIEL MICHAEL:TUNAWAHESHIMU RUVU SHOOTING,TUPO TAYARI

BEKI wa Simba, Gadiel Michael amesema kuwa kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidiya Ruvu Shooting kutakuwa na mabadiliko kwa kuwa wachezaji wapo tayari licha ya ushindani kuwa mkubwa. Gadiel bado hajacheza ndani ya msimu wa 2021/22 kwa sasa katika mechi tano na nafas yake amekuwa akianza nyota Mohamed Hussein ambaye ni chaguo…

Read More

POLISI TANZANIA V COASTAL UNION NI LEO

MKALI wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Bara,Vitalis Mayanga akiwa na mabao manne ametuma ujumbe kwa Coastal Union kuwa wanahitaji pointi tatu. Timu hizo zinatarajiwa kukutana leo Novemba 19 katika Uwanja wa Ushirika,Moshi mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mayanga amesema kuwa mechi zao zote ambazo watacheza wanahitaji ushindi ili waweze kufikia malengo…

Read More

DIARRA KUMPA CHANGAMOTO AISHI MANULA

MILTON Nienov aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba ameweka wazi kuwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula atapata changamoto kubwa kutoka kwa kipa wa Yanga,Diarra Djigui. Nienov kwa sasa ameshachimbishwa ndani ya Simba ilikuwa ni Septemba 26 kwa kile kilichoelezwa ni makubaliano ya pande zote mbili. Nienov aliweka wazi kwamba anatambua ubora wa…

Read More