MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
UONGOZI wa klabu ya Azam FC umesitisha mkataba wa Kocha kutoka nchini Zambia George Lwandamina na Msaidizi wake kutoka Burundi Vivier Bahati, kutokana na mwenendo mbaya wa kikosi chao kwenye Mshime Mshike wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Azam FC jana Jumapili (Desemba 12) ikicheza nyumbani Azam Complex Chamazi, iliambulia sare ya bila kufungana dhidi…
MOHAMED Dewji ambaye ni mfanyabiashara na Rais wa Heshima ndani ya Simba ameahidi kuchangia shilingi za Kitanzania bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Klabu ya Simba. Mo amesema kuwa ameweza kupokea maoni ya watu wengi ambao ni wadau wa mpira pamoja na mashabiki wa Simba ambao wameweka wazi kwamba wapo tayari kuchangia…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amekosoa mfumo wa kocha mpya wa Simba, Pablo Franco kuwa ni wa tofauti na ule uliokuwa ukitumika na kocha aliyepita Didier Gomes. Nabi amesema kuwa kuna tofauti kubwa ya uchezaji ambao upo ndani ya Simba kwa wakati huu baada ya kupata kocha mpya ambaye ni Franco. “Kuna mabadiliko kwenye…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mikono ya kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula iliwazuia kupata ushindi kwenye mchezo wao wa ligi. Juzi, Uwanja wa Mkapa, Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Simba lakini ubao wa ulisoma Simba 0-0 Yanga na kufanya timu hizo kugawana pointi mojamoja. Nabi amesema…
NYOTA wa Azam FC, Prince Dube tayari amerejea kikosi cha kwanza na kuanza kuonyesha makeke yake ndani ya kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina. Kwenye mchezo wake wa kwanza mbele ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa Azam Complex alishuhudia timu ya Azam FC ikigawana pointi mojamoja na Kagera Sugar baada ya…
KIKOSI cha Mtibwa Sugar kimeweza kuonja ladha ya ushindi kwa mara ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United. Mchezo huo wa nane kwa Mtibwa Sugar ulichezwa Uwanja wa Manungu, Desemba 12 na Mtibwa Sugar iliweza kushinda kupitia kwa Nzigamasabo Stive…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetoa taarifa ya kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa wanachama wa klabu ya Simba, Ndg Murtaza Mangungu baada ya mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga. Murtaza Mangungu aliwashutumu TFF na Bodi ya Ligi kuwa waliwaruhusu viongozi wa Yanga kuingia eneo la VVIP bila kadi huku Mkurugenzi Mkuu…
IKIWA zimebaki sikutatu kabla dirisha dogo la usajili hapa nchini halijafunguliwa, uongozi wa Yanga umefunguka kuwa katika kuhakikisha wanafanikisha mpango wao wa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, umejipanga kukiongezea nguvu kikosi hicho kwa kushusha majembe mapya, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akiwa mwamuzi wa mwisho. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu na kudumu kwa takribani mwezi mmoja. Akizungumza na Spoti Xtra, Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawakutumia nafasi ambazo walizitengeneza kwenye mchezo wao dhidi ya Simba. Desemba 11, Uwanja wa Mkapa ulikamilika kwa timu mbili za Simba na Yanga kutoshana nguvu bila kufungana. Nabi ameweka wazi kwamba hakukuwa na timu ambayo ilikuwa na uhakika wa kupata ushindi kwenye mchezo huo kwa kuwa ilikuwa…
WAKATI jana Desemba 11, Uwanja wa Mkapa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga ukipigwa jukwaani hakuwepo kabisa Mtendaji Mkuu wa Simba,Barbara Gonzalez ambaye inatajwa kwamba alizuiwa kuweza kuutazama mchezo huo. Ikumbukwe kwamba Barbara alitumia mitandao yake ya kijamii kuzungumza na mashabiki wa Simba kwa kuwambia kwamba alifika Uwanja wa Mkapa na…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa na ngoma kuwa nzito kwa timu zote ambapo zimegawana pointi mojamoja. Mpaka mwamuzi wa kazi Herry Sasii anapuliza filimbi ya mwisho kukamilishwa ngwe ya dakika 90 hakuna mbabe kwenye mchezo wa leo. Yanga inaendelea na rekodi yake ya kucheza mechi ya nane bila kufungwa huku Simba ikiikwama kuivunja rekodi…
UWANJA wa Mkapa leo Desemba 11 inachezwa Dabi ya Kariakooo ambapo kwa sasa muda ni mapumziko. Mpaka dakika 45 za awali zinameguka ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Simba 0-0 Yanga. mchezo wa leo ushindani ni mkubwa ambapo timu zote zimekuwa zikipambana kusaka ushindi ila milango ni migumu. Feisal Salum eneo la kati limekuwa mali…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukiongoza kikosi chake leo kwenye mchezo wa dabi dhidi ya Yanga. Hiki hapa kikosi chake rasmi ambacho kitaanza Uwanja wa Mkapa:- Aish Manula Shomar Kapombe Hussein Onyango Joash Mkude Jonas Kibu Dennis Kanoute Kagere Morrison Hassan Dilunga Akiba Kakolanya Israel Kennedy Nyoni Erasto Mzamiru Banda Bocco Bwalya…
LEO ni Desemba 11,2021 saa 11:00 jioni mchezo wa ligi kati ya Simba na Yanga unatarajiwa kuchezwa. Hiki hapa kikosi cha Yanga ambacho kinatarajiwa kuanza:- Diarra Djigui Djuma Shaban Dickson Job Kibwana Shomari Bakari Mwamnyeto Jesus Moloko Bangala Yannick Aucho Khalid Feisal Salum Fiston Mayele Said Ntibanzokiza Akiba Johora Yassin Bryson Mauya Makambo Kaseke Yusuf…